Recent News and Updates

Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa Moyo bila kufungua kifua

Jumla ya wagonjwa 36  wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete (JKCI). Upasuaji huo unafanywa na madaktari bingwa wa moyo wa Taasisi… Read More

JKCI kwa kushirikiana na THF wafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo

Katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani tarehe 29/09/2018 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari wa Moyo Tanzania (THF) wafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo katika viwanja vya Hospitali… Read More

Taarifa Kwa Madaktari Nchini

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na Shirika la Misaada la Al-Balsam la nchini Saudi Arabia itakuwa na kambi maalum ya matibabu ya kusaidia wagonjwa wa moyo ambao mishipa yao ya damu haipitishi… Read More

Mwakilishi wa Mufti Sheik Hassan Chizenga akimkabidhi tuzo ya kuthamini  utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Agnes Kuhenga wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru wataalam wa afya kutoka Taasis

Taasisi ya JKCI yatambulika Kimataifa kwa Huduma Bora

Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo zimeifanya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutambulika kimataifa na hivyo wataalamu wengi kutoka nje ya nchi kuvutiwa  kwenda kufanya kambi maalum za  matibabu  ya moyo kwa kushirikiana… Read More

Wagonjwa 20 Watarajiwa Upasuaji wa Moyo katika Taasisi ya JKCI

Wagonjwa 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na kuwekewa valvu zaidi ya mbili (milango ya moyo) kwenye kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Upasuaji huo unafanywa na madaktari bingwa… Read More