JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE (JKCI)

News

14th August 2017
SABASABA 2017
SABASABA 2017

Neema Juma akimsikiliza kwa makini Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pedro Pallangyo wakati akimweleza namna anavyoweza kuishi na kuepukana na magonjwa ya moyo. Neema alitembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi

14th August 2017
SABASABA 2017
SABASABA 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akijibu maswali mbalimbali kuhusu magonjwa ya moyo aliyoulizwa na wananchi waliotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi

14th August 2017
SABASABA 2017
SABASABA 2017

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiwaonyesha wananchi waliotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara

14th August 2017
SABASABA 2017
SABASABA 2017

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aika Nnkya akimsikiliza Haubert Makoke ambaye alimuuliza swali kuhusu magonjwa ya Moyo wakati alitembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi

14th August 2017
SABASABA 2017
SABASABA 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Mkurugenzi wa Huduma za Biashara wa Tan Trade Fidelis Mugenyi wakati alipotembelea maonyesho ya Kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu

Patient Testimonials

The smiles on their faces show appreciation after successfully surgeries

Happy kids after successfully surgeries

Cardiac Services

Arterial Switch Operation

Arterial Switch Operation

Coronary Angioplasty (PTCA) and Stenting

Coronary Angioplasty (PTCA) and Stenting

Coronary Angiography

The function of coronary arteries is to supply our heart muscle with blood. They may get clogged from a buildup of plaque, cholesterol or cells resulting in..

Coronary Angioplasty

What is Coronary Angioplasty?

Coronary Angioplasty is also known as PCI (Percutaneous Coronary Interventi..

Announcements

On 9th to 19th September 2016, there will be a camp for paediatric open heart surgery at Jakaya K...

We provide several types of clinics public, private and VIP. You are all welcome